نَتۡلُواْ عَلَيۡكَ مِن نَّبَإِ مُوسَىٰ وَفِرۡعَوۡنَ بِٱلۡحَقِّ لِقَوۡمٖ يُؤۡمِنُونَ ٣
Natlū 'alayka min naba'i mūsā wafir'awna bil-haqqi liqawmin yu'minūn
Tunakusomea khabari za Musa na Firauni kwa Haki kwa ajili ya watu wanao amini. 3
Maelezo ya chini
3 Tunakusimulia baadhi ya khabari za Musa na Firauni kwa ukweli, ili wapate kuzizingatia Waumini.