Surat Al-Qamar, aya 47

54:47

إِنَّ ٱلۡمُجۡرِمِينَ فِي ضَلَٰلٖ وَسُعُرٖ ٤٧

Innal-mujrimīna fī dalālin wasu'ur

Hakika wakosefu wamo katika upotofu na wazimu. 47

Maelezo ya chini

47 Hakika wakosefu kutokana na hawa na hao watakuwa katika hilaki na Jahannamu inayo waka moto.