Surat Al-Qamar, aya 26

54:26

سَيَعۡلَمُونَ غَدٗا مَّنِ ٱلۡكَذَّابُ ٱلۡأَشِرُ ٢٦

Saya'lamūna ghadam manil-kaddhābul-ashir

Kesho watajua ni nani huyo mwongo mwenye kiburi. 26

Maelezo ya chini

26 Karibu watakuja jua siku itapo wateremkia adhabu ni nani mwongo anaye ikanya neema. Wao au Saleh, Mtume wao?