Surat Al-Qamar, aya 15

54:15

وَلَقَد تَّرَكۡنَٰهَآ ءَايَةٗ فَهَلۡ مِن مُّدَّكِرٖ ١٥

Walaqat taraknāhā āyatan fahal mim muddakir

Na bila ya shaka tuliiacha iwe ni Ishara. Lakini je, yupo anaye kumbuka? 15

Maelezo ya chini

15 Na tumeliacha hilo tukio na kuzamishwa makafiri na kuokolewa Waumini liwe ni mawaidha, lakini yupo mwenye kuwaidhika?