وَمَا هُوَ إِلَّا ذِكۡرٞ لِّلۡعَٰلَمِينَ ٥٢
Wamā huwa illā dhikrul lil-'ālamīn
Na hayakuwa haya, ila ni ukumbusho kwa walimwengu wote. 52
Maelezo ya chini
52 Na Qur'ani si chochote ila ni mawaidha, na hikima, na ukumbusho kwa walimwengu wote.