فَٱجۡتَبَٰهُ رَبُّهُۥ فَجَعَلَهُۥ مِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ ٥٠
Fajtabāhu rabbuhū faja'alahū minas-sālihīn
Lakini Mola wake Mlezi alimteua na akamfanya miongoni mwa watu wema. 50
Maelezo ya chini
50 Lakini Mola wake Mlezi kamteuwa kwa kuikubali toba yake, na akamjaalia miongoni mwa watu wema.