Surat Al-Qalam, aya 28

68:28

قَالَ أَوۡسَطُهُمۡ أَلَمۡ أَقُل لَّكُمۡ لَوۡلَا تُسَبِّحُونَ ٢٨

Qāla awsatuhum alam aqul lakum lawlā tusabbihūn

Mbora wao akasema: Sikukwambieni, kwa nini hamumtakasi Mwenyezi Mungu? 28

Maelezo ya chini

28 Alisema aliye kuwa muadilifu wao na mbora wao akiwalaumu: Sikukwambieni mlipo kuwa mnasemezana kuwanyima masikini, hebu hamumkumbuki Mwenyezi Mungu mkaiacha niya yenu?