أَنِ ٱغۡدُواْ عَلَىٰ حَرۡثِكُمۡ إِن كُنتُمۡ صَٰرِمِينَ ٢٢
Anighdū 'alā harthikum in kuntum sārimīn
Ya kwamba nendeni kondeni mwenu ikiwa mnataka kuvuna. 22
Maelezo ya chini
22 Amkeni mapema mwende kondeni kwenu kama mmeazimia kuvuna.