Surat Al-Mu'minun, aya 85

23:85

سَيَقُولُونَ لِلَّهِۚ قُلۡ أَفَلَا تَذَكَّرُونَ ٨٥

Sayaqūlūna lillāhi qul afalā tadhakkarūn

Watasema: Ni vya Mwenyezi Mungu! Sema: Basi, je, hamkumbuki? 85

Maelezo ya chini

85 Watakiri kuwa ardhi ni ya Mwenyezi Mungu. Basi hapo tena waambie: Hamkumbuki kuwa Mwenye kumiliki hayo ndiye anaye faa kuabudiwa peke yake?