Surat Al-Mu'minun, aya 84

23:84

قُل لِّمَنِ ٱلۡأَرۡضُ وَمَن فِيهَآ إِن كُنتُمۡ تَعۡلَمُونَ ٨٤

Qul limanil-ardu waman fīhā in kuntum ta'lamūn

Sema: Ni ya nani ardhi na viliomo ndani yake, kama nyinyi mnajua? 84

Maelezo ya chini

84 Ewe Muhammad! Waambie: Ni nani aliye imiliki ardhi na viliomo ndani yake, tangu watu mpaka viumbe vyote? Kama nyinyi mna ujuzi nijibuni.