Surat Al-Mu'minun, aya 82

23:82

قَالُوٓاْ أَءِذَا مِتۡنَا وَكُنَّا تُرَابٗا وَعِظَٰمًا أَءِنَّا لَمَبۡعُوثُونَ ٨٢

Qālū a'idhā mitnā wakunnā turāban wa'izāman a'innā lamab'ūthūn

Walisema: Je! Tukisha kufa tukawa udongo na mifupa ndio tutafufuliwa? 82

Maelezo ya chini

82 Katika kukanusha kwao kufufuliwa, walisema: Hivyo sisi tutafufuliwa baada ya kwisha geuka mchanga na mifupa?