Surat Al-Mu'minun, aya 81

23:81

بَلۡ قَالُواْ مِثۡلَ مَا قَالَ ٱلۡأَوَّلُونَ ٨١

Bal qālū mithla mā qālal-awwalūn

Bali wanasema kama walivyo sema watu wa kwanza. 81

Maelezo ya chini

81 Hawakuzingatia hayo, bali waliwafuata wakanushaji walio kwisha tangulia, wakasema kama walivyo sema hao.