Surat Al-Mu'minun, aya 65

23:65

لَا تَجۡـَٔرُواْ ٱلۡيَوۡمَۖ إِنَّكُم مِّنَّا لَا تُنصَرُونَ ٦٥

Lā taj'arul-yawma innakum minnā lā tunsarūn

Msiyayatike leo! Hakika nyinyi hamtanusurika nasi. 65

Maelezo ya chini

65 Basi tunawaambia: Msiyayatike, wala msiombe msaada hivi sasa. Hamtatoka ndani ya adhabu yangu, wala kuyayatika kwenu hakufai kitu.