Surat Al-Mu'minun, aya 34

23:34

وَلَئِنۡ أَطَعۡتُم بَشَرٗا مِّثۡلَكُمۡ إِنَّكُمۡ إِذٗا لَّخَٰسِرُونَ ٣٤

Wala'in ata'tum basharam mithlakum innakum idhal lakhāsirūn

Na nyinyi mkimt'ii mtu kama nyinyi basi hakika mtakuwa khasarani. 34

Maelezo ya chini

34 Na wakawahadharisha kwa nguvu na mkazo, wakiwaambia: Mkimt'ii mtu aliye kama nyinyi kwa utu wake, basi nyinyi hakika mtakuwa mmekhasiri kwa kuwa hamtapata manufaa yo yote mkimfuata.