قَالَ رَبِّ ٱنصُرۡنِي بِمَا كَذَّبُونِ ٢٦
Qāla rabbinsurnī bimā kaddhabūn
Akasema (Nuhu): Mola wangu Mlezi! Ninusuru kwa kuwa wamenikanusha. 26
Maelezo ya chini
26 Nuhu akamwomba Mola wake Mlezi baada ya kukata tamaa kuamini kwao, akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Ninusuru nao, na watie adabu kwa sababu ya kuukadhibisha kwao wito wangu!