إِنۡ هُوَ إِلَّا رَجُلُۢ بِهِۦ جِنَّةٞ فَتَرَبَّصُواْ بِهِۦ حَتَّىٰ حِينٖ ٢٥
In huwa illā rajulu bihī jinnatun fatarabbasū bihī hattā hīn
Huyu si lolote ila ni mtu mwenye wazimu. Basi mngojeeni tu kwa muda. 25
Maelezo ya chini
25 Huyu si chochote ila ni mtu mwenye wazimu. Na kwa hivyo wakasema: Ngojeni, na mstahamilieni mpaka ukashifike wazimu wake, au kufike kuangamia kwake.