وَعَلَيۡهَا وَعَلَى ٱلۡفُلۡكِ تُحۡمَلُونَ ٢٢
Wa'alayhā wa'alal-fulki tuhmalūn
Na juu yao na juu ya marikebu mnabebwa. 22
Maelezo ya chini
22 Na juu ya hawa wanyama wa kufuga na marikebu nyinyi mnapanda, na mnapakia mizigo. Basi Sisi tumekuumbieni njia za usafirishaji na upakizi nchi kavu na baharini. Na kwa hizo mnapata kuwasiliana nyinyi kwa nyinyi.