Surat Al-Mu'minun, aya 13

23:13

ثُمَّ جَعَلۡنَٰهُ نُطۡفَةٗ فِي قَرَارٖ مَّكِينٖ ١٣

Thumma ja'alnāhu nutfatan fī qarārim makīn

Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti. 13

Maelezo ya chini

13 Kisha tukaumba vizazi vyake, navyo ni kuwa tulimfanya mtu kwanza tone ya mbegu ya uzazi - yaani maji yenye kila sifa ya uhai wa mwanzo. Tukaiweka kwenye tumbo la uzazi, napo ni pahala pa utulivu palipo lindwa.