قَالُواْ لَبِثۡنَا يَوۡمًا أَوۡ بَعۡضَ يَوۡمٖ فَسۡـَٔلِ ٱلۡعَآدِّينَ ١١٣
Qālū labithnā yawman aw ba'da yawmin fas'alil-'āddīn
Watasema: Tulikaa siku moja au sehemu ya siku. Basi waulize wanao weka hisabu. 113
Maelezo ya chini
113 Watasema kwa kuyaona mafupi maisha yao kwa adhabu wanayo ikuta: Tuliishi muda wa siku moja au baadhi ya siku hivi. Basi waulize wanao weza kuhisabu, sisi tumeshughulishwa na hii adhabu.