Surat Al-Mu'minun, aya 112

23:112

قَٰلَ كَمۡ لَبِثۡتُمۡ فِي ٱلۡأَرۡضِ عَدَدَ سِنِينَ ١١٢

Qāla kam labithtum fil-ardi 'adada sinīn

Atasema: Mlikaa muda gani katika ardhi kwa hisabu ya miaka?. 112

Maelezo ya chini

112 Mwenyezi Mungu atawaambia makafiri: Mliishi miaka mingapi huko duniani?