Surat Al-Mu'minun, aya 108

23:108

قَالَ ٱخۡسَـُٔواْ فِيهَا وَلَا تُكَلِّمُونِ ١٠٨

Qālakhsa'ū fīhā walā tukallimūn

Atasema Mwenyezi Mungu: Tokomeeni humo, wala msinisemeze. 108

Maelezo ya chini

108 Na Mwenyezi Mungu atawaambia kwa kuwadharau na kuwabeza: Kaeni humo kwa madhila na unyonge, wala msiseme nami kabisa!