أَلَا يَعۡلَمُ مَنۡ خَلَقَ وَهُوَ ٱللَّطِيفُ ٱلۡخَبِيرُ ١٤
Alā ya'lamu man khalaqa wahuwal-latīful-khabīr
Asijue aliye umba, naye ndiye Mjua siri, Mwenye khabari? 14
Maelezo ya chini
14 Kwani Muumba si Mwenye kujua mambo yote ya waja wake? Na Yeye ni Mjuzi wa dogo na kubwa