Surat Al-Mulk, aya 11

67:11

فَٱعۡتَرَفُواْ بِذَنۢبِهِمۡ فَسُحۡقٗا لِّأَصۡحَٰبِ ٱلسَّعِيرِ ١١

Fa'tarafū bidhambihim fasuhqal li ashābis-sa'īr

Wakakiri dhambi zao. Basi kuangamia ni kwa watu wa Motoni! 11

Maelezo ya chini

11 Basi wataungama kukadhibisha kwao na kukufuru kwao. Watu wa Motoni wamepotelea mbali na rehema ya Mwenyezi Mungu!