فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنۡحَرۡ ٢
Fasalli lirabbika wanhar
Basi swali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi. 2
Maelezo ya chini
2 Ilivyo kuwa umepewa hayo, basi dumisha Swala kwa Mola wako Mlezi kwa usafi kabisa, na uchinje dhabihu wako kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa aliyo kupa ya ukarimu, na akakukhusisha wewe khasa kwa kukupa kheri.