Surat Al-Kahf, aya 89

18:89

ثُمَّ أَتۡبَعَ سَبَبًا ٨٩

Thumma atba'a sababā

Kisha akaifuata njia. 89

Maelezo ya chini

89 Kisha Dhul-Qarnaini akaendelea vile vile huku akiomba tawfiki ya Mwenyezi Mungu, na akafuata njia ya kufikilia matokea jua upande wa mashariki.