Surat Al-Kahf, aya 61

18:61

فَلَمَّا بَلَغَا مَجۡمَعَ بَيۡنِهِمَا نَسِيَا حُوتَهُمَا فَٱتَّخَذَ سَبِيلَهُۥ فِي ٱلۡبَحۡرِ سَرَبٗا ٦١

Falammā balaghā majma'a baynihimā nasiyā hūtahumā fattakhadha sabīlahū fil-bahri sarabā

Basi wawili hao walipo fika zinapo kutana hizo bahari mbili walimsahau samaki wao, naye akashika njia yake kaporonyokea baharini. 61

Maelezo ya chini

61 Basi Musa na kijana wake walipo fikilia pahala panapo kusanyika bahari mbili wakamsahau samaki wao walio kuwa wamemchukua kwa amri ya Mwenyezi Mungu. Akatumbukia baharini, akashika njia yake katika maji!