وَأَنَّا ظَنَنَّآ أَن لَّن تَقُولَ ٱلۡإِنسُ وَٱلۡجِنُّ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبٗا ٥
Wa annā zanannā al lan taqūlal-insu wal-jinnu 'alallāhi kadhibā
Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu. 5
Maelezo ya chini
5 Na hakika sisi tulikuwa tunadhani kuwa haiwi binaadamu au jini kumzulia Mwenyezi Mungu jambo ambalo si laiki naye kusifika nalo.