عَٰلِمُ ٱلۡغَيۡبِ فَلَا يُظۡهِرُ عَلَىٰ غَيۡبِهِۦٓ أَحَدًا ٢٦
'Ālimul-ghaybi falā yuzhiru 'alā ghaybihī ahadā
Yeye ndiye Mwenye kujua ya siri, wala hamdhihirishii yeyote siri yake, 26
Maelezo ya chini
26 Yeye ndiye Mjuzi wa ghaibu, yaliyo siri. Hapana mmoja katika viumbe vyake anaye ijua siri yake,