قُلۡ إِنِّي لَآ أَمۡلِكُ لَكُمۡ ضَرّٗا وَلَا رَشَدٗا ٢١
Qul innī lā amliku lakum darran walā rashadā
Sema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni wala kukuongozeni. 21
Maelezo ya chini
21 Sema: Mimi sina uweza wowote juu yenu wa kukuondoleeni madhara, wala kukuleteeni uwongofu na manufaa.