Surat Al-Jathiyah, aya 7

45:7

وَيۡلٞ لِّكُلِّ أَفَّاكٍ أَثِيمٖ ٧

Waylul likulli affākin athīm

Ole wake kila mzushi mwenye dhambi! 7

Maelezo ya chini

7 Atapata maangamizo makubwa kila anaye mzulia Mwenyezi Mungu uwongo mbaya, na mwenye kukithiri madhambi yake kwa kitendo hicho!