وَبَدَا لَهُمۡ سَيِّـَٔاتُ مَا عَمِلُواْ وَحَاقَ بِهِم مَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ ٣٣
Wabadā lahum sayyi'ātu mā 'amilū wahāqa bihim mā kānū bihī yastahzi'ūn
Basi ubaya wa waliyo yatenda utawadhihirikia, na yatawazunguka waliyo yafanyia maskhara. 33
Maelezo ya chini
33 Na utawadhihirikia hawa makafiri ubaya wa vitendo vyao, na itawateremkia jaza ya maskhara yao waliyo kuwa wakizifanyia Ishara za Mwenyezi Mungu.