Surat Al-Isra, aya 52

17:52

يَوۡمَ يَدۡعُوكُمۡ فَتَسۡتَجِيبُونَ بِحَمۡدِهِۦ وَتَظُنُّونَ إِن لَّبِثۡتُمۡ إِلَّا قَلِيلٗا ٥٢

Yawma yad'ūkum fatastajībūna bihamdihī watazunnūna il labithtum illā qalīlā

iku atakapo kuiteni, na nyinyi mkamuitikia kwa kumshukuru, na mkadhani kuwa hamkukaa ila muda mdogo tu. 52

Maelezo ya chini

52 Na siku atapo kufufueni Mwenyezi Mungu kutoka makaburini kwenu, mtafufuliwa nanyi mkimshukuru na kumsifu Mola wenu Mlezi kwa ukamilifu wa uwezo wake. Na mtadhani kuwa hamkukaa makaburni kwenu ila muda mchache tu. Mtaona muda ni mfupi kwa mnasaba ya hayo mnayo yaendea.