Surat Al-Isra, aya 43

17:43

سُبۡحَٰنَهُۥ وَتَعَٰلَىٰ عَمَّا يَقُولُونَ عُلُوّٗا كَبِيرٗا ٤٣

Subhānahū wata'ālā 'ammā yaqūlūna 'uluwwan kabīrā

Subhanahu Wa Taa'la, Ametakasika na Ametukuka juu kabisa na hayo wanayo yasema. 43

Maelezo ya chini

43 Mwenyezi Mungu ametakasika kabisa kama anavyo stahiki, na ametukuka aliye mkuu shani yake na yote wanayo dai kuwa wapo pamoja na Yeye miungu wengine.