Surat Al-Isra, aya 109

17:109

وَيَخِرُّونَ لِلۡأَذۡقَانِ يَبۡكُونَ وَيَزِيدُهُمۡ خُشُوعٗا۩ ١٠٩

Wayakhirrūna lil-adhqāni yabkūna wayazīduhum khushū'ā

Na huanguka kifudifudi na huku wanalia, na inawazidisha unyenyekevu. 109

Maelezo ya chini

109 Na huangukia tena kwenye nyuso zao mara ya pili wakilia kwa kumkhofu Mwenyezi Mungu, na Qur'ani inawazidisha unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu.