وَأَنَّ ٱلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ بِٱلۡأٓخِرَةِ أَعۡتَدۡنَا لَهُمۡ عَذَابًا أَلِيمٗا ١٠
Wa annal-ladhīna lā yu'minūna bil-ākhirati a'tadnā lahum 'adhāban alīmā
Na yakwamba wale wasio iamini Akhera tumewaandalia adhabu chungu. 10
Maelezo ya chini
10 Na hakika wale ambao hawaiamini Akhera tumewatengenezea adhabu ya machungu makali.