Surat Al-Imran, aya 58

3:58

ذَٰلِكَ نَتۡلُوهُ عَلَيۡكَ مِنَ ٱلۡأٓيَٰتِ وَٱلذِّكۡرِ ٱلۡحَكِيمِ ٥٨

Dhālika natlūhu 'alayka minal-āyāti wadh-dhikril-hakīm

Haya tunayo kusomea ni katika Aya na Ukumbusho wenye hikima. 58

Maelezo ya chini

58 Hayo tuliyo kusimulia ni miongoni ya hoja zenye kuonyesha ukweli wa ujumbe wako, nayo ni katika Qur'ani Tukufu yenye kukumbusha, na yenye kukusanya ilimu ya manufaa.