Surat Al-Hujurat, aya 4

49:4

إِنَّ ٱلَّذِينَ يُنَادُونَكَ مِن وَرَآءِ ٱلۡحُجُرَٰتِ أَكۡثَرُهُمۡ لَا يَعۡقِلُونَ ٤

Innal-ladhīna yunādūnaka min warā'il-hujurāti aktharuhum lā ya'qilūn

Hakika hao wanao kuita nawe uko nyuma ya vyumba, wengi wao hawana akili. 4

Maelezo ya chini

4 Hakika hao wanao kuita kwa makelele nawe uko vyumbani mwako wengi wao hawafahamu yanayo takikakana kukuhishimu na kukutukuza kwa makamo yako.