Surat Al-Hijr, aya 46

15:46

ٱدۡخُلُوهَا بِسَلَٰمٍ ءَامِنِينَ ٤٦

Udkhulūhā bisalāmin āminīn

(Wataambiwa:) Ingieni kwa salama na amani. 46

Maelezo ya chini

46 Mola wao Mlezi atawaambia: Ingieni katika Bustani hizi kwa utulivu na amani. Kwani hapana khofu juu yenu, hamhuzunikii nyakati zenu.