Surat Al-Hijr, aya 45

15:45

إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي جَنَّٰتٖ وَعُيُونٍ ٤٥

Innal-muttaqīna fī jannātin wa'uyūn

Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem. 45

Maelezo ya chini

45 Haya ni malipo ya wanao mfuata Shetani. Ama wale ambao Shetani kashindwa kuwapotoa, kwa kuwa wameweka kinga baina yake na nyoyo zao, hao watapata Mabustani yaliyo bora, na chemchem zinazo pita .