وَإِنَّ عَلَيۡكَ ٱللَّعۡنَةَ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلدِّينِ ٣٥
Wa inna 'alaykal-la'nata ilā yawmid-dīn
Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo. 35
Maelezo ya chini
35 Na Mimi nimekwisha kuhukumia ubaidike na rehema na utukufu mpaka Siku ya Kiyama, Siku ya Hisabu na Malipo. Na hapo ndipo utapo pata adhabu, wewe na wanao kufuata .