Surat Al-Hijr, aya 34

15:34

قَالَ فَٱخۡرُجۡ مِنۡهَا فَإِنَّكَ رَجِيمٞ ٣٤

Qāla fakhruj minhā fa innaka rajīm

(Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni! 34

Maelezo ya chini

34 Mwenyezi Mungu Mtukufu akasema: Ukiwa wewe umekuwa a'asi, umetokana na ut'iifu wangu, basi tokelea mbali kwenye Bustani hii! Kwani hakika wewe umefukuzwa kwenye rehema yangu pahala pa hishima.