إِلَّآ إِبۡلِيسَ أَبَىٰٓ أَن يَكُونَ مَعَ ٱلسَّٰجِدِينَ ٣١
Illā iblīsa abā an yakūna ma'as-sājidīn
Isipo kuwa Iblisi. Yeye alikataa kuwa pamoja na walio sujudu. 31
Maelezo ya chini
31 Lakini Iblisi alijivuna na akakataa kuwa pamoja na Malaika waliyo it'ii amri ya Mwenyezi Mungu.