Surat Al-Hijr, aya 24

15:24

وَلَقَدۡ عَلِمۡنَا ٱلۡمُسۡتَقۡدِمِينَ مِنكُمۡ وَلَقَدۡ عَلِمۡنَا ٱلۡمُسۡتَـٔۡخِرِينَ ٢٤

Walaqad 'alimnal-mustaqdimīna minkum walaqad 'alimnal-musta'khirīn

Na tunawajua walio tangulia katika nyinyi, na tunawajua waliotaakhari. 24

Maelezo ya chini

24 Na kila mmoja wenu ana muda wake alio pimiwa. Sisi ndio tunao ujua. Tunawajua walio tangulia kwa kufa na kuwa hai, na pia wanao taakhari.