وَإِنَّا لَنَحۡنُ نُحۡيِۦ وَنُمِيتُ وَنَحۡنُ ٱلۡوَٰرِثُونَ ٢٣
Wa innā lanahnu nuhyī wanumītu wanahnul-wārithūn
Na Sisi ndio tunao huisha na tunao fisha. Na Sisi ndio Warithi. 23
Maelezo ya chini
23 Na ni Sisi tu peke yetu ndio tunavipa vitu vyote uhai, kisha tunavipelekea mauti, kwani uumbaji wote ni wetu.