وَحَفِظۡنَٰهَا مِن كُلِّ شَيۡطَٰنٖ رَّجِيمٍ ١٧
Wahafiznāhā min kulli shaytānir rajīm
Na tumezilinda na kila shetani afukuzwaye. 17
Maelezo ya chini
17 Lakini Sisi tumezihifadhi na kila shetani anaye stahiki kupigwa vimondo na kufukuzwa kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu Mtukufu.