Surat Al-Hijr, aya 1

15:1

الٓرۚ تِلۡكَ ءَايَٰتُ ٱلۡكِتَٰبِ وَقُرۡءَانٖ مُّبِينٖ ١

Alif Lām Rā tilka āyātul-kitābi waqur'ānim mubīn

Alif Lam Ra. (A.L.R). Hizi ni Aya za Kitabu na Qur'ani inayo bainisha. 1

Maelezo ya chini

1 Hizi ni Aya za Kitabu cha kusomwa, chenye kubainisha, chenye kuweke wazi.