Surat Al-Haqqah, aya 45

69:45

لَأَخَذۡنَا مِنۡهُ بِٱلۡيَمِينِ ٤٥

La akhadhnā minhu bil-yamīn

Bila ya shaka tungeli mshika kwa mkono wa kulia, 45

Maelezo ya chini

45 Basi bila ya shaka tungeli mshika akitoe kama mtu anavyo mkamata mtu kwa mkono wa kulia akammaliza hapo hapo.