Surat Al-Haqqah, aya 36

69:36

وَلَا طَعَامٌ إِلَّا مِنۡ غِسۡلِينٖ ٣٦

Walā ta'āmun illā min ghislīn

Wala hana chakula ila usaha wa watu wa Motoni. 36

Maelezo ya chini

36 Wala hana chakula ila usaha wa watu wa Motoni, ambao kwa hakika ni mchanganyiko wa damu na usaha.