وَٱنشَقَّتِ ٱلسَّمَآءُ فَهِيَ يَوۡمَئِذٖ وَاهِيَةٞ ١٦
Wanshaqqatis-samā'u fahiya yawma'idhin wāhiyah
Na mbingu zitapasuka, kwani siku hiyo zitakuwa dhaifu kabisa. 16
Maelezo ya chini
16 Na mbingu zitapasuka kwa kuondoka hukumu zake na sharia zake, kwani siku hiyo zitakuwa dhaifu baada ya kuwa madhubuti zenye nguvu.