Surat Al-Furqan, aya 69

25:69

يُضَٰعَفۡ لَهُ ٱلۡعَذَابُ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ وَيَخۡلُدۡ فِيهِۦ مُهَانًا ٦٩

Yudā'af lahul-'adhābu yawmal-qiyāmati wayakhlud fīhī muhānā

Atazidishiwa adhabu Siku ya Kiyama, na atadumu humo kwa kufedheheka. 69

Maelezo ya chini

69 Na Siku ya Kiyama atapata adhabu mardufu kuliko hiyo, na atadumu Motoni kwa udhalili na unyonge.